Habari Wazazi sita ‘wabanwa’ kwa watoto kutokwenda shule adminAugust 18, 20260 Simanjiro.Wazazi na walezi sita katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kushindwa kuhakikisha…
Habari KANISA LA EBENEZER MBALIZI LAGEUKA FARAJA KWA WAZEE WASIOJIWEZA adminAugust 18, 20260 Na Josea Sinkala, Mbeya. Kanisa la Ebenezer Assemblies of God Africa (EAGA) lenye makao yake makuu mjini Mbalizi wilayani Mbeya,…
Habari Sababu wanaume kuvutiwa na wanawake wenye maumbo makubwa adminAugust 18, 20260 Dar es Salaam. Mjadala kuhusu aina ya mwili unaovutia zaidi umeibua mitazamo tofauti huku baadhi ya wanaume wa Kiafrika wakisema…
Michezo Hatari iliyofichika kumrusha mtoto hewani wakati wa kumbembeleza adminAugust 18, 20260 Dar es Salaam. Mtoto anapolia, kukosa utulivu au kutaka kucheza, wazazi na walezi hutumia njia mbalimbali kumtuliza au kumfurahisha. Baadhi…
Habari Bandari ya Tanga yapaa, wadau wataka bandari kavu adminAugust 18, 20260 Tanga. Maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Tanga yameongeza ufanisi na kusababisha ongezeko la shehena, meli na abiria, hali iliyowafanya wadau…
Habari TMA yatahadharisha mvua, reli hatarini adminAugust 18, 20260 Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imezitaka mamlaka zinazosimamia miundombinu ya usafiri, ikiwamo reli, kujiandaa kukabiliana…
Habari Shekilango ilivyopata sura mpya baada ya mabasi kuondolewa adminAugust 18, 20260 Dar es Salaam. Kwa muda mrefu, eneo la Shekilango, pembezoni mwa Barabara ya Morogoro kuelekea Magomeni, Dar es Salaam, lilizoeleka…
Habari RAIS WA KONGO MHE FELIX ANTOINE APOKELEWA NA RAIS DKT SAMIA IKULU NDOGO ZANZIBAR adminAugust 18, 20260 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, akipokelewa na mwenyeji wake Mhe. Dkt. Samia…
Habari Mwili wa mwanamume wakutwa porini karibu na eneo la Jeshi Makuburi adminAugust 18, 20260 Dar es Salaam. Mwili wa mwanamume umekutwa katika eneo la Makuburi, Dar es Salaam, ukiwa hauna jeraha lolote linaloonekana, huku…
Habari AFISA WA FIFA AFUTWA KAZI BAADA YA KUKOSOA MPANGO WA INFANTINO adminAugust 18, 20260 Alikuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa mipango ambayo baadae ilifutiliwa mbali ya rais wa FIFA Gianni Infantino, ya kuuza…