PATRICK VIEIRA ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA SENEGAL
Senegal imemteua Patrick Vieira, mshindi wa Kombe la Dunia la 1998 akiwa na Ufaransa, kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Shirikisho la Soka la Senegal limetangaza Jumanne. Vieira anachukua nafasi ya Pape Thiaw, aliyefutwa kazi baada ya Kombe la Dunia…
Hatari iliyofichika kumrusha mtoto hewani wakati wa kumbembeleza
Dar es Salaam. Mtoto anapolia, kukosa utulivu au kutaka kucheza, wazazi na walezi hutumia njia mbalimbali kumtuliza au kumfurahisha. Baadhi humbeba na kumtikisa taratibu, huku wengine wakimrusha hewani wakiamini ni mchezo unaomfurahisha mtoto.…