Habari Asimulia alivyojifungua katikati ya tetemeko la ardhi adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Maria Florida, 39, ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya…
Burudani Jose Chameleone alivyoibua shangwe akitumbuiza kilele tamasha la Kizimkazi adminAugust 17, 2026August 23, 20260 Unguja. Msaanii wa kimataifa kutoka Uganda, Jose Chameleone ameibua shangwe wakati akitumbuiza katika kilele cha tamasha la Kizimkazi. Katika tamasha…
Habari Rais Samia ahimiza amani, utulivu Tamasha la Kizimkazi adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza Watanzania, hususan vijana, kulinda amani, usalama na utulivu, akisema maendeleo ya Taifa…
Habari Hoja ya uhamiaji kutikisa mkutano wa wakuu wa SADC adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Suala la uhamiaji linatarajiwa kutawala mjadala katika mkutano wa 46 wa kawaida wa wakuu wa nchi na…
Habari NBC kuchochea nguvu ya uchumi Zanzibar adminAugust 17, 20260 Zanzibar. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuwa mshirika wa kimkakati katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar…
Habari Samia: Fursa zinazoibuliwa Kizimkazi ziwaguse wananchi adminAugust 17, 20260 Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amefunga Tamasha la Kizimkazi akiwataka viongozi kuhakikisha fursa zinazozalishwa au kuibuliwa ndani ya tamasha hilo…
Habari Jaji Warioba atoa kauli sakata la Lissu adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe, Jaji Joseph Warioba amesema busara za kisiasa zinatakiwa kutumika ili kumwezesha Mwenyekiti wa Chama cha…
Habari Kiswahili chazidi kujitanua duniani, watafiti kukutana Kampala adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Watafiti na wanataaluma wa Kiswahili wamepewa fursa ya kushiriki katika mjadala wa kimataifa kuhusu maendeleo ya lugha…
Habari Wateja wa simu, vifaa vya umeme wanavyopigwa Kariakoo adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Simu, vifaa vya umeme vinavyowatesa wanunuzi vuta picha unanunua simu kwenye duka, ukipewa boksi, risiti na hata…
Habari Wanawake wanufaika na maonyesho ya uvuvi adminAugust 17, 20260 Rukwa. Maonyesho ya sekta ya uvuvi yameanza kuleta matokeo chanya kwa kuwaunganisha wavuvi, wanawake, wasindikaji, wawekezaji na wanunuzi, hatua inayowawezesha…