Habari MUHAS yaanzisha tiba ya kibingwa ya kinywa, meno kwa watoto adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Watoto wenye matatizo ya meno nchini wameanza kupata huduma kutoka kwa madaktari bingwa baada ya Chuo Kikuu…
Habari Wakurugenzi wa Halmashauri wabebeshwa zigo la mazingira adminAugust 17, 20260 Dodoma. Wakurugenzi wa halmashauri nchini Tanzania wameagizwa kusimamia na kuwa mfano wa kupunguza matumizi ya plastiki katika ofisi zao ili…
Habari Wadau wataka mipango ya tabianchi izingatie jinsia adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Wakati dunia ikiendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi, wadau wameonya kuwa vita hiyo haitakuwa na…
Habari Afrika kugeukia teknolojia ya AI kuimarisha usalama wa mitihani adminAugust 17, 20260 Arusha. Mabaraza ya mitihani barani Afrika yameshauriwa kutumia mifumo ya kidijitali, uchanganuzi wa data na akili unde (AI) kubaini na…
Habari CookFund yachochea mapinduzi ya nishati safi, wanafunzi 62,000 wanufaika adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Zaidi ya wanafunzi 62,000 nchini wamenufaika na matumizi ya nishati safi ya kupikia kutokana na usakinishaji wa…
Habari Kizimkazi yaaga kero ya maji, Rais Samia atoa neno adminAugust 17, 20260 Unguja. Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kero ya maji iliyodumu kwa muda mrefu Kizimkazi na maeneo mengine ya Kusini Unguja,…
Habari Aliyedai fidia ya Sh40 milioni kwa kulea mimba ya mtoto asiye wake, agonga mwamba kortini adminAugust 17, 20260 Singida. Omary Mgana, amegonga mwamba katika jitihada zake za kudai fidia ya Sh40 milioni kutoka kwa mke wake wa zamani,…
Habari DCEA yateketeza ekari 603 za bangi Morogoro adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeanza operesheni maalumu ya kuharibu mashamba ya…
Habari Masaji si tiba ya kila maumivu, wataalamu waonya adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameonya wananchi dhidi ya kukimbilia huduma za masaji wanapopata maumivu ya mgongo, shingo, miguu…
Habari Kwa nini GB 128 za simu yako zinawahi kujaa? Fanya hivi… adminAugust 17, 20260 Dar es Salaam. Miaka iliyopita, simu yenye nafasi ya kuhifadhi taarifa ya GB32 au GB64 ilionekana kuwa na uwezo mkubwa,…