DCEA yateketeza ekari 603 za bangi Morogoro
Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeanza operesheni maalumu ya kuharibu mashamba ya bangi mkoani Morogoro, baada ya kubaini wakulima kuhamia maeneo ya mbali ndani na nje ya Hifadhi ya Mikumi. Katika operesheni…
Masaji si tiba ya kila maumivu, wataalamu waonya
Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameonya wananchi dhidi ya kukimbilia huduma za masaji wanapopata maumivu ya mgongo, shingo, miguu au misuli bila kwanza kufahamu chanzo cha tatizo, wakisema kufanya hivyo kunaweza kutoa nafuu ya muda huku ugonjwa…
Kwa nini GB 128 za simu yako zinawahi kujaa? Fanya hivi…
Dar es Salaam. Miaka iliyopita, simu yenye nafasi ya kuhifadhi taarifa ya GB32 au GB64 ilionekana kuwa na uwezo mkubwa, lakini mabadiliko ya matumizi ya simu janja yamefanya nafasi hiyo kujaa kwa haraka. Leo, hata simu yenye GB 128 inaweza kumlazimu…
Asimulia alivyojifungua katikati ya tetemeko la ardhi
Dar es Salaam. Maria Florida, 39, ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya upasuaji, huku tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 likitikisa eneo la Nusa Tenggara Mashariki mwa Indonesia. Florida alikuwa tayari…
Jose Chameleone alivyoibua shangwe akitumbuiza kilele tamasha la Kizimkazi
Unguja. Msaanii wa kimataifa kutoka Uganda, Jose Chameleone ameibua shangwe wakati akitumbuiza katika kilele cha tamasha la Kizimkazi. Katika tamasha hilo linalofanyika leo Agosti 14, 2026 viwanja vya Mwehe Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, msanii huyo…
Rais Samia ahimiza amani, utulivu Tamasha la Kizimkazi
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza Watanzania, hususan vijana, kulinda amani, usalama na utulivu, akisema maendeleo ya Taifa hayawezi kustawi katika mazingira ya vurugu. Amesema amani, usalama na utulivu ni nguzo muhimu zinazowezesha…
Hoja ya uhamiaji kutikisa mkutano wa wakuu wa SADC
Dar es Salaam. Suala la uhamiaji linatarajiwa kutawala mjadala katika mkutano wa 46 wa kawaida wa wakuu wa nchi na serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unaofanyika leo, Agosti 17, 2026, jijini Durban, Afrika Kusini. Mkutano huo…
NBC kuchochea nguvu ya uchumi Zanzibar
Zanzibar. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema itaendelea kuwa mshirika wa kimkakati katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar kwa kuwawezesha wafanyabiashara, wawekezaji na wajasiriamali kutumia fursa zinazotokana na uwekezaji, maendeleo ya…
Samia: Fursa zinazoibuliwa Kizimkazi ziwaguse wananchi
Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amefunga Tamasha la Kizimkazi akiwataka viongozi kuhakikisha fursa zinazozalishwa au kuibuliwa ndani ya tamasha hilo zinawagusa wananchi. Amesema kutokana na tamasha hilo, Wilaya ya Kusini imechangamka, imefurahi, imekuwa…
Jaji Warioba atoa kauli sakata la Lissu
Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe, Jaji Joseph Warioba amesema busara za kisiasa zinatakiwa kutumika ili kumwezesha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini kuachiwa huru. Kauli ya Jaji Warioba imekuja…