Kiswahili chazidi kujitanua duniani, watafiti kukutana Kampala
Dar es Salaam. Watafiti na wanataaluma wa Kiswahili wamepewa fursa ya kushiriki katika mjadala wa kimataifa kuhusu maendeleo ya lugha hiyo kupitia kongamano la Kiswahili litakalofanyika Kampala, nchini Uganda, wakati Kiswahili kikizidi kupanua ushawishi…
Wateja wa simu, vifaa vya umeme wanavyopigwa Kariakoo
Dar es Salaam. Simu, vifaa vya umeme vinavyowatesa wanunuzi vuta picha unanunua simu kwenye duka, ukipewa boksi, risiti na hata dhamana ya miezi kadhaa, lakini baada ya siku chache kifaa kinaanza kuganda, betri kuisha haraka au kamera kupoteza ubora. Huo…
Wanawake wanufaika na maonyesho ya uvuvi
Rukwa. Maonyesho ya sekta ya uvuvi yameanza kuleta matokeo chanya kwa kuwaunganisha wavuvi, wanawake, wasindikaji, wawekezaji na wanunuzi, hatua inayowawezesha kupata masoko mapya na kuongeza thamani ya bidhaa zao. Mtaalamu wa masuala ya uvuvi na…
Sura mbili mbio za uchaguzi Kenya, Ruto akimrushia kijembe Kenyatta
Dar es Salaam. Malumbano ya kisiasa nchini Kenya yameendelea kupamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya Rais William Ruto kuwatuhumu baadhi ya wapinzani wake kuwa wanatumwa na “sponsor” ambaye hakumtaja, lakini maelezo yake yakionekana…
JKCI, CCBRT zapokea Sh200 milioni mbio za CRDB
Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya CCBRT zimepokea Sh200 milioni zilizotokana na mbio za hisani za CRDB Bank Marathon, fedha zinazolenga kuboresha huduma za afya na kuongeza upatikanaji wa matibabu kwa makundi yenye…
Katoro: Mji wa fursa unaochanua kwa dhahabu, biashara na watu
Geita. Kuna miji ambayo huijui mpaka uambiwe, lakini kuna miji ambayo ukifika mara moja, unaelewa kwa nini watu wanaizungumzia. Katoro ni mmoja wapo. Mwezi uliopita, jina la mji huo lilivuka mipaka ya kawaida ya biashara na uchimbaji dhahabu na kuingia…
Ujumbe muhimu kwa malezi ya mtoto
Dar es Salaam. Mtoto anayekulia katika mazingira yenye kila kitu, akipewa simu ya kisasa, kusoma shule nzuri na kushiriki burudani mbalimbali, bado anaweza kukosa maarifa muhimu ya maisha ikiwa hajawahi kukutana na mazingira yanayomsaidia kuelewa dunia…
Miaka 10 ya kusubiri mradi, wananchi wabebeshwa zigo la gharama – 1
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kutenga mabilioni ya fedha ili kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wananchi wameendelea kubeba mzigo wa gharama za matibabu kwa kulazimika kuuza mifugo, mashamba na mali nyingine kugharimia safari,…
Wajenzi wanavyokiuka vibali vya ujenzi, hatari kwa watumiaji
Dar es Salaam. Baadhi ya wamiliki wa majengo jijini Dar es Salaam wamekuwa wakibadilisha mipango ya ujenzi baada ya kupata vibali, ikiwamo kuongeza idadi ya ghorofa, hali ambayo wataalamu wanaonya inaweza kuathiri usalama wa majengo na watumiaji.…
Jamhuri yafunga ushahidi kesi ya Lissu
Dar es Salaam. Jamhuri imefunga ushahidi wake katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, Jamhuri imefunga ushahidi huo leo Jumatatu Agosti 17, 2026 baada ya kuwaita mashahidi 17 kati ya 30…