Skip to content
-
Subscribe to our newsletter & never miss our best posts. Subscribe Now!
Habarimpya

Habari Mpya Kilasiku

Habarimpya

Habari Mpya Kilasiku

  • Home
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Home
  • Privacy Policy
  • Sample Page
Close

Search

  • https://www.facebook.com/
  • https://twitter.com/
  • https://t.me/
  • https://www.instagram.com/
  • https://youtube.com/
Subscribe
Habari

Mbunge Shigongo Aipongeza Kanisa Katoliki Kwa Kuhubiri Amani – Video

By admin
August 24, 2026 1 Min Read
Comments Off on Mbunge Shigongo Aipongeza Kanisa Katoliki Kwa Kuhubiri Amani – Video

Global Publishers
August 24, 2026
18 views
0 Comments

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amelipongeza Kanisa Katoliki kwa mchango wake katika kuhubiri amani na utulivu nchini Tanzania.

Shigongo ametoa kauli hiyo wakati wa Jubilee ya Miaka 25 ya Upadri ya Padre Cleophace Magesa, iliyofanyika nyumbani kwao katika Kigango cha Itulabusiga, Parokia ya Mwangia ya Mwangika.

Amesema madhehebu mbalimbali ya dini yamekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha amani nchini, akisisitiza kuwa amani ni msingi muhimu wa maisha ya jamii.

“Hivyo, tuendelee kuwaombea viongozi wa dini kwa kazi waliyonayo ya kuhubiri amani na utulivu ndani ya nchi yetu,” amesema Shigongo.

Aidha, Shigongo amesema juhudi za viongozi wa dini katika kuhubiri amani zinapaswa kuthaminiwa na kuungwa mkono kutokana na nafasi yao katika kujenga jamii yenye mshikamano na utulivu.

Author

admin

Follow Me
Other Articles
Previous

Leo Ni Leo! Yanga na JKT Tanzania Kukiwasha KMC Complex

Next

Waziri Mkuu ataka ubunifu upelekwe sokoni – HabariLeo

Recent Posts

  • BONANZA LA BUNGE KULENGA AFYA NA MSHIKAMANO WA WATUMISHI
  • JAMII YAHIMIZWA KUTUMIA VYAKULA VYA MIMEA ASILI KUIMARISHA KINGA ZA MWILI
  • Doumbia Bado Anajitafuta! Ashindwa Kutamba Dhidi ya Coastal
  • WANANCHI URU KUSINI WACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 200 KUKARABATI SHULE
  • UN YAITAKA TANZANIA KUSITISHA UHAMISHAJI WA WAMASAI NGORONGORO NA LOLIONDO

Recent Comments

  1. A WordPress Commenter on Hello world!

Archives

  • August 2026

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Magazeti
  • Michezo
  • Siasa
Copyright 2026 — Habarimpya. All rights reserved. Blogsy WordPress Theme