MAKAMU WA RAIS MHE NDEJEMBI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR NA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT SHEIN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, katika makazi yake Kibele, Mkoa wa Kusini Unguja, leo tarehe 02 Septemba 2026.