Taarifa uliyotufikia hivi punde ni kuwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Said Goha ambae alitumbuliwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Oganaizesheni, Paulo Chacha amepata ajali mbaya Mbezi Luis jijini Dar es salaam inasemekana hali yake ni mbaya zaidi matukio Daima Tunaendelea kufuatilia Tutakujuza

