AJALI MBAYA ZASABABISHA VIFO MORO, LIMO BASI LA ABIRIA NA LORI LA MBAO YALIYOGONGANA NA KUWAKA MOTO, KWINGINE NI GARI YA POLISI

Ni katika barabara kuu za kuelekea Dar es es salaam na Dodoma

Na Matukio  Daima Media, Morogoro 

WATU kadhaa ambao idadi yao haijaweza kujulikana mara Moja wanahofiwa kupoteza maisha baada ya Basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na Lori la Mbao na kuteketea kwa Moto katika eneo la Mkambalani wilayani Morogoro, barabara kuu ya Morogoro -Dar es salaam.

Ajali nyingine iliyotokea usiku huu ni katika eneo la ali  ya Basi na lori kugongana na kuwaka moto katika eneo la mkambarani Dakawa, barabara kuu ya Morogoro -Dodoma ambapo watu wengine wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa halmashauri ya Morogoro watu katika ajali inayodaiwa kuhusisha gari ya Polisi na gari jingine.

Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa baada ya kuwapata wasemaji wa Mamlaka mbalimbali  baada ya shughuli za uokozi.

Mwisho