Eswatini Yaungana na Familia ya Chivayo Katika Mazishi – Picha

Global Publishers
October 8, 2026
0 views
0 Comments

Ujumbe kutoka Eswatini umeungana na familia, ndugu, marafiki na waombolezaji katika shughuli za mazishi ya mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mkewe, Lucy “Lulu” Muteke.

Ujumbe huo umefika kutoa heshima za mwisho kwa wanandoa hao pamoja na kuonesha mshikamano na familia ya Chivayo katika kipindi hiki cha majonzi.

Uwepo wa ujumbe huo umeongeza idadi ya waombolezaji wanaofika kutoa heshima zao kwa Chivayo na Lucy, huku shughuli za kuaga zikiendelea kabla ya mazishi yao.