
Hatimaye ile siku ya kutusua imewadia na timu kibao zimejiandaa kwaajili ya kukupatia maokoto ya maana. Je nani unampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi?. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.
Michuano ya kufuzu AFCON 2027 itaendelea ambapo Eritrea atamleta kwake Afrika Kusini huku timu zote mbili ukiuangalia mchezo huu kwa jicho tofauti sana kwani wote wawili wanahitaji kupata ushindi mnono hapa.
Vijana hao wa Mosimane, Afrika Kusini wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na pointi 3 baada ya kuifunga Guinea kwa mabao 2-1, huku Eritrea wao walianza kampeni yao i kwa kupata sare ya 1-1 dhidi ya Kenya Nairobi.
Kwa Eritrea, sare dhidi ya Kenya ilikuwa matokeo yaliyowapa nguvu kubwa kisaikolojia. Kenya ililazimika kusubiri hadi dakika ya 87 kusawazisha goli hilo. Hii inaonyesha kwamba Eritrea si timu inayopaswa kuangaliwa kwa ukubwa wa jina pekee. Bashiri hapa.
Mkwanja wa maana upo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Afrika Kusini inaweza kuwa na faida ya kisaikolojia kwa sababu imeanza kampeni kwa ushindi dhidi ya mmoja wa wapinzani wake wakuu wa kundi. Lakini mchezo wa Eritrea utakuwa tofauti. Guinea ilicheza kwa ujasiri na kuilazimisha Bafana Bafana kufanya kazi kwa nguvu, wakati Eritrea inaweza kuwa na mpango wa kujilinda kwa kina zaidi na kusubiri muda sahihi wa kushambulia.
Kwa hiyo, Eritrea haitahitaji kuingia kwenye mchezo wa kushambuliana bila mpangilio. Itahitaji kuwa na subira, kulinda eneo la mbele ya mabeki na kuhakikisha kwamba kila mpira wanaoupata wakati wa kuvunja mashambulizi ya Afrika Kusini unatumiwa kwa ufanisi. Jisajili hapa.
Takwimu zinasema eneo la kiungo linaweza kuwa sehemu muhimu zaidi ya mchezo huu. Afrika Kusini ikifanikiwa kutawala kiungo, kusogeza mpira kwa kasi na kuwafanya wachezaji wa Eritrea kurudi nyuma, inaweza kutumia muda mwingi ikiwa kwenye nusu ya uwanja ya mpinzani.
Pia Eritrea ikifanikiwa kukata njia za pasi na kuzuia Bafana Bafana kupata nafasi kati ya mistari, mchezo unaweza kuwa wa kusubiri sana. Hapo ndipo Afrika Kusini itahitaji uvumilivu kwa sababu kulazimisha pasi za hatari kunaweza kuipa Eritrea nafasi ya kushambulia kwa kushtukiza.
Je nani anaweza akaondoka na ushindi kwenye mechi hii leo?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako hapa.
