Global Publishers
September 26, 2026
0 views
0 Comments
LEO Septemba 26, 2026 ni siku ya kilele cha ibada kubwa ya kusifu na kuabudu ya Sifa Gospel Fest 2026, inayofanyika katika Uwanja wa Furahisha, Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza.
