Skip to content
-
Subscribe to our newsletter & never miss our best posts. Subscribe Now!
Habarimpya

Habari Mpya Kilasiku

Habarimpya

Habari Mpya Kilasiku

  • Home
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Home
  • Privacy Policy
  • Sample Page
Close

Search

  • https://www.facebook.com/
  • https://twitter.com/
  • https://t.me/
  • https://www.instagram.com/
  • https://youtube.com/
Subscribe
Habari

Utata Wa Neema Na Mwajiri Wake Wafikia Mwisho, Zali Mapito Afika Oman Kufuatilia – Video

By admin
August 24, 2026 1 Min Read
Comments Off on Utata Wa Neema Na Mwajiri Wake Wafikia Mwisho, Zali Mapito Afika Oman Kufuatilia – Video

Global Publishers
August 24, 2026
984 views
0 Comments

Mtangazaji wa Global TV Online na 255 Global Radio, Zali Mapito, yupo nchini Oman kufuatilia hali ya binti mdogo wa Kitanzania, Neema Kengele, kutoka Geita, ambaye amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa siku kadhaa.

Akizungumza akiwa Oman katika mahojiano na mtangazaji God Muya wa Global TV, Zali ameeleza kwa kina hali inavyoendelea pamoja na juhudi zinazofanyika kuhakikisha Neema anapata msaada unaohitajika.

Katika maelezo yake, Zali amebainisha pia juhudi zinazofanywa na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Maulidah Hassan, katika kufuatilia na kusaidia katika suala hilo.

Ujio wa Zali nchini Oman unalenga kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hali ya Neema pamoja na kupata taarifa sahihi kuhusu hatua zinazochukuliwa na mamlaka pamoja na wahusika mbalimbali katika kuhakikisha Mtanzania huyo anapata matibabu na msaada unaohitajika.

Hali ya Neema imeendelea kufuatiliwa kwa karibu, huku Watanzania wakisubiri taarifa zaidi kuhusu maendeleo yake.

Author

admin

Follow Me
Other Articles
Previous

Mfanyabiashara Afichua Siri ya Mafanikio ya Wakinga na Safari Yake ya Utajiri – Video

Next

MAGAZETINI LEO JUMATATU AGOSTI 24/2026

Recent Posts

  • MIMI SIO MAKAMU WA RAIS WA CCM,NI WA VYAMA VYOTE – NDEJEMBI
  • WARAGHABISHI WACHOCHEA MAENDELEO KIGOMA – Matukio Daima Habari
  • Mkuu wa CIA Afanya Ziara ya Siri Moscow, Putin Apewa Onyo Kali
  • USHIRIKIANO WA NHIF NA ZHSF WAVUTIA KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI
  • Video: Wabunge 324 Wamthibitisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

Recent Comments

  1. A WordPress Commenter on Hello world!

Archives

  • August 2026

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Magazeti
  • Michezo
  • Siasa
Copyright 2026 — Habarimpya. All rights reserved. Blogsy WordPress Theme