Mpigie Kura Godmuya, Kura Yako Ni Ushindi! โ€“ Tuzo za Samia Kalamu Awards 2026

Global Publishers
September 4, 2026
852 views
0 Comments

Mtangazaji wa @globaltvonline na @255globalradio, Godfrey Nathan @godmuya ameteuliwa kuwania tuzo za Samia Kalamu Awards 2026.

Sasa Godmuya anaomba support yako, mfuatiliaji wa Global TV, kwa kumpigia kura ili kufanikisha ushindi wake.

๐Ÿ—ณ๏ธ MPIGIE KURA: GODFREY LUHILABAKE NATHAN
๐Ÿ”ข Kodi: 260246

๐Ÿ‘‰ Piga kura kupitia:
https://samiaawards.tz/mshiriki/260246

๐Ÿ“Œ Copy link hiyo kisha paste kwenye browser yako ili kumpigia kura.

Kura yako ni mchango mkubwa kwa Godmuya katika safari hii ya tuzo.

๐Ÿ™ Piga kura, share na mwambie mwingine apige kura!

#SamiaKalamuAwards #VoteForGodmuya #Godmuya #GlobalTVOnline #255GlobalRadio