#TheHardTalk: Rose Ndauka Afunguka Alivyonusurika Kifo Kwenye Ajali – Video

Global Publishers
September 3, 2026
54 views
0 Comments

Kupitia kipindi cha #TheHardTalk, kinachoongozwa na @lillianmwasha_, staa wa filamu na ujasiriamali maarufu Bongo, @iamrosendauka, amefunguka kuhusu namna alivyonusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya barabarani.

Rosenda Uka ameeleza kwa undani tukio hilo na uzoefu alioupitia wakati wa ajali hiyo.