Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya hafla ya uapisho wa Wakuu wa Mikoa ya Mbeya, Geita, Pwani, Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, Septemba 02, 2026.