Wezesha Mzawa Microfinance Yatangaza Nafasi ya Kazi ya Credit Supervisor, Maombi Mwisho Novemba 15

Global Publishers
November 1, 2026
810 views
0 Comments

Kampuni ya Wezesha Mzawa Microfinance Limited imetangaza nafasi ya kazi ya Credit Supervisor, mtaalamu mwenye sifa, uzoefu na uwezo wa kusimamia shughuli za mikopo katika taasisi za kifedha.

Maombi yatumwe kwenye email hii ni wez[email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni Novemba 15, 2026,