Mr Blue Afunga Bangi Ilivyovuruga Maisha Yake Kipindi cha Ujana – Video

Global Publishers
October 7, 2026
6 views
0 Comments

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Mr. Blue @mrbluebyser1988, amefika ndani ya Studio za Global TV kwa ajili ya mahojiano maalum katika kipindi cha #Kontena.

Katika mahojiano hayo, Mr Blue amezungumzia changamoto zinazoweza kuwakabili vijana, akitoa msisitizo kuhusu namna makundi yanavyoweza kuathiri maisha, kupoteza mwelekeo na kuharibu mipango ya baadaye.