Skip to content
-
Subscribe to our newsletter & never miss our best posts. Subscribe Now!
Habarimpya

Habari Mpya Kilasiku

Habarimpya

Habari Mpya Kilasiku

  • Home
  • Sample Page
  • Home
  • Sample Page
Close

Search

  • https://www.facebook.com/
  • https://twitter.com/
  • https://t.me/
  • https://www.instagram.com/
  • https://youtube.com/
Subscribe
Habari

FIFA IMEJIHARIBIA YENYEWE KWA MPANGO WA KOMBE LA DUNIA – MKUU WA LIGI KUU YA UINGEREZA

By admin
August 19, 2026 1 Min Read
Comments Off on FIFA IMEJIHARIBIA YENYEWE KWA MPANGO WA KOMBE LA DUNIA – MKUU WA LIGI KUU YA UINGEREZA

 

Mtendaji mkuu wa Ligi Kuu ya England, Richard Masters amekosoa mpango wa Rais wa shirikikisho la soka duniani Fifa, Gianni Infantino wa kuuza hisa za Kombe la Dunia, akisema shirikisho hilo “limebonyeza kitufe cha kujiangamiza.

Infantino yuko chini ya shinikizo kubwa kuhusu jaribio lake, ambalo baadaye lilishindikana, la kuunda kampuni mpya ya kusimamia haki za kibiashara na tiketi za mashindano yote ya Fifa, ikiwa ni pamoja na Kombe la Dunia, huku asilimia 21 ikipangwa kuuzwa kwa kampuni bnafsi ya uwekezaji.

Mpango wa Fifa Forward Enterprise (FFE) ulisitishwa baada ya ukosoaji mkubwa wa mashirikisho kadhaa, yanayoongozwa na Uefa, ambayo yametishia kususia mashindano yote ya Fifa.

Masters aliunga mkono uamuzi wa Shirikisho la Soka la England (FA) kuondoa uungwaji mkono wake kwa Infantino, na akatoa wito wa kupatikana kwa mgombea mpya wa urais wa FIFA ambaye anaweza kuiunganisha dunia ya soka.

Author

admin

Follow Me
Other Articles
Previous

SERIKALI YATOA MIEZI SITA KUSAJILI MIUNDOMBINU MUHIMU YA TEHAMA

Next

Kilomita sita kufuata matibabu zawasukuma Kola kujenga zahanati 

Recent Posts

  • Sh4.9 bilioni zalipwa kwa waliopisha mradi wa maji Chamwino Ikulu
  • Serikali yasitisha leseni ya MwanaHALISI, TEF yapinga
  • Kilomita sita kufuata matibabu zawasukuma Kola kujenga zahanati 
  • FIFA IMEJIHARIBIA YENYEWE KWA MPANGO WA KOMBE LA DUNIA – MKUU WA LIGI KUU YA UINGEREZA
  • SERIKALI YATOA MIEZI SITA KUSAJILI MIUNDOMBINU MUHIMU YA TEHAMA

Recent Comments

  1. A WordPress Commenter on Hello world!

Archives

  • August 2026

Categories

  • Habari
  • Magazeti
  • Michezo
Copyright 2026 — Habarimpya. All rights reserved. Blogsy WordPress Theme