Wajenzi wanavyokiuka vibali vya ujenzi, hatari kwa watumiaji
Dar es Salaam. Baadhi ya wamiliki wa majengo jijini Dar es Salaam wamekuwa wakibadilisha mipango ya ujenzi baada ya kupata vibali, ikiwamo kuongeza idadi ya ghorofa, hali ambayo wataalamu wanaonya inaweza kuathiri usalama wa majengo na watumiaji.…
Jamhuri yafunga ushahidi kesi ya Lissu
Dar es Salaam. Jamhuri imefunga ushahidi wake katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, Jamhuri imefunga ushahidi huo leo Jumatatu Agosti 17, 2026 baada ya kuwaita mashahidi 17 kati ya 30…
Lissu alivyoishawishi Mahakama hana kesi ya kujibu, aomba fidia
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amewasilisha hoja za kisheria akiishawishi Mahakama Kuu kuwa hana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili, akiiomba imuachilie huru na iamuru alipwe…
Hello world!
Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing!